Mwongozo wa makazi: Ugonjwa wa moyo husababisha vifo vingi Australia

Mtu akifanya mazoezi

Mtu akifanya mazoezi Source: Picha: E'Lisa Campbell /Flickr CC BY-SA 2.0


Kwa wastani, mu Australia mmoja hufa kila dakika 12 kwa sababu ya ugonjwa wa moyo.

Kwa upande wa mshtuko wa moyo, mu Australia mmoja hufa kila saa.

Je wajua jinsi yaku tambua dalili za mshtuko wa moyo, nala kufanya iwapo hali hiyo ita tokea?

 

 


Share