Mwongozo wa Makazi: Maelezo kuhusu tiba ya meno kwa wahamiaji

Daktari wa meno amhudumia mgonjwa

Source: Picha: AAP


Afya ya mdomo wako mara nyingi inaweza kuwa na athari kwa afya ya mwili wako mzima.

Tiba ya meno ni ghali nchini Australia, ila kuna mbinu zaku punguza gharama hizo.

 

 

 


Share