Mwongozo wa Makazi: Tatizo la wasio na makazi linawiana na makazi ya gharama nafuu

Mwanamke asiye kuwa na makazi, aketi kwenye kona ya mtaa ambao uko katika maeneo ya kati ya mji wa Brisbane, Australia.

Mwanamke asiye kuwa na makazi, aketi kwenye kona ya mtaa ambao uko katika maeneo ya kati ya mji wa Brisbane, Australia. Source: AAP

Tatizo la watu kutokuwa na makazi hapa Australia linaendelea kuwa kubwa zaidi.


Katika sensa ya mwisho, kulikuwa na watu zaidi ya 11, 600 ambao hawana nyumba za kudumu nchini.

Na bila mpango wa wazi wa kitaifa wa kupambana na makazi na ukosefu wa nyumba za gharama nafuu, hakuna dalili ya mambo haya kuwa mazuri. Ili kujua huduma za wasiokuwa na makazi Australia, tembelea tovuti ya homelessnessaustralia.org.au na bonyeza 'Jinsi ya kupata msaada?' kupata orodha ya huduma kwa kila jimbo.

Mfululizo wa pili wa kipindi cha ‘Filthy Rich and Homeless’ utaonyeshwa kwa usiku mitatu - Jumanne 14, Jumatano 15 na Alhamisi 16 Agosti kupitia SBS kuanzia saa 8.30usiku. Kipindi maalumu kilicho mubashara toka studio, kitarusha mara tu baada ya mfululzo wa sehemu ya tatu ya kipindi hicho.

Filthy Rich & Homeless kipindi kilicho wazi, kinachoonyesha uchunguzi wa kinachohusu, jinsi gani unavyokuwa, ukiwa huna makazi hapa Australia leo kama inavyoonyesha mwanga katika sehemu ya jamii yetu ambayo mara nyingi hupuuzwa na kutokujaliwa.


Share