Mwongozo wa Makazi:Jinsi mfumo wa haki kwa vijana unavyo fanya kazi Australia

Nyundo yakutoa hukumu mahakamani

Nyundo yakutoa hukumu mahakamani Source: Getty Images

Hakuna mzazi anayetaka kupokea simu kutoka kwa polisi ikisema mtoto wao amekamatwa.


Lakini ikiwa inatokea, ni muhimu kujua haki za mtoto wako, ikiwa ni pamoja na kuomba msaada wa mwanasheria.

Ikiwa unataka matokeo bora kwako au mtoto wako, unapaswa kuwasiliana na mwanasheria kupitia Usaidizi wa Kisheria kwenye jimbo lako mapema iwezekanavyo.

Mwanasheria wako atakusaidia kuperuzi mfumo wa haki ya vijana na kukupa msaada mkubwa.


Share