Mwongozo wa makazi: Jinsi ya kuomba namba ya kodi (TFN)

Hesabu za malipo ya kodi

Hesabu za malipo ya kodi Source: Ken Teegardin

Kuna mambo machache muhimu ya kuzingatia kwa wahamiaji wapya kabla ya kuanza kazi hapa nchini Australia, kutoka uombaji wa kazi hadi ulipaji wa ushuru.


Namba ya faili ya kodi, ni kiungo pekee, ambacho kinachounganisha mapato yako yote, mafao na masuala ya ushuru.

Maelezo zaidi kuhusu Nambari ya Faili ya Kodi inapatikana kwenye tovuti ya Ofisi ya Ushuru wa Australia, www.ato.gov.au.


Share