Mwongozo wa Makazi: Jinsi yakubadilisha shahada zako

Wahitimu

Wahitimu Source: AAP

Australia inaendelea kuwakaribisha wahamiaji wenye ujuzi, viwango vyawa hitimu wa elimu ya juu vime ongezeka maradufu tangu mwaka wa 2001.


Ripoti mpya kutoka ofisi ya twakwimu ya Australia (ABS) imebaini kuwa ni 40% tu yawa hamiaji hao ambao wanafanya kazi katika sekta yautaalam wao.

Wakati uhaba wa uzoefu wakazi nchini pamoja na uhaba wa vyeti vya shule, vinapokuwa kizuizi chakupata ajira, msaada uliopo ni upi?

 

 


Share