Mwongozo wa Makazi: jinsi ya kuendesha gari nchini Australia na leseni yakigeni

bango la barabara la Australia

bango la barabara la Australia Source: Ron Sumbers via Pixwords

Nimuhimu kwa watu wanao hamia nchini Australia kuweza kuendesha gari.


Ila maelezo kuhusu kama unahitaji kibali chaku endesha gari nchini Australia, na jinsi yakupa kibali hicho ni tofauti kulingana na jimbo unako ishi.

Masharti ya kibali chako chaku endesha gari, yanategemea unako ishi na aina ya viza unayo.

 

 


Share