Unapo fuzu kutumia mfumo huo, unaweza tumia huduma tofauti za afya bila malipo, pamoja nakuhudumiwa kama mgonjwa katika hospitali za umma au kununua dawa kwa gharama ya chini.
Je mfumo huo hutumikaje, na nina anafuzu kuutumia na utaratibu waku sajiliwa kuutumia ni upi?