Mwongozo wa Makazi: Jinsi yakujisajili kushiriki katika uchaguzi mkuu wa Victoria

Wapiga kura, ndani ya kitua cha kupiga kura, katika eneo la Byford, Magharibi Australia

Wapiga kura, ndani ya kitua cha kupiga kura, katika eneo la Byford, Magharibi Australia Source: AAP

Wakazi wa Victoria, watafanya uchaguzi tarehe 24 mwezi wa kumi na moja mwaka huu wa 2018.


Ikiwa unaishi katika jimbo hilo, ni fursa yako kusikilizwa.

Raia wote wa Australia wanaoishi Victoria, wenye umri wa miaka 18 na zaidi, wanapaswa jiandikisha na kupiga kura.

Tume ya Uchaguzi ya Victoria almaarufu (VEC), inaendesha bila malipo vikao vya taarifa zaidi, kuhusiana na uchaguzi huo kupitia lugha zaidi ya thelathini.

 


Share