Mwongozo wa makazi: Jinsi yakupata talaka nchini Australia

Sanamu yawanandoa iliyo tengwa juu ya keki

Source: Getty images

Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Australia unaonesha kuwa watu walio katika umri wa kati ya miaka 20 ndio wana uwezekano mkubwa wa kutalikiana wakifuatiwa na walio katika umri wa mwishoni mwa miaka 40.


Na wale wanaotalikiana kwa kawaida walikua wameoana kwa miaka tisa au chini ya hapo
 


Share