Mwongozo wa makazi: Jinsi ya kupata leseni ya udereva ya Australia

Mvulana ajifunza kuendesha gari

Mvulana ajifunza kuendesha gari Source: Getty Images

Kuendesha gari ni ujuzi muhimu wa kukusaidia kuishi nchini Australia.


Utaratibu na muda unaohitajika ili kupata leseni ya udereva unatofautiana katika kila jimbo na wilaya.

Madereva wadogo kwa kawaida huhitajika muda mrefu kupata leseni zao, wakati madereva wakubwa au wale walio na leseni ya nje ya nchi wanaweza mara nyingi kuharakisha mchakato.


Share