Hatakama ni njia nzuri yaku jua nchi yetu, kuna tahadhari kadhaa ambazo unastahili chukua ili ubaki salama.
Mwongozo wa makazi: Je unawezaje baki salama ukiwa nje, wakati wa majira ya joto?

Watu wa burudika katika ufukwe wa Bondi, wakati wa msimu wa majira ya joto, mjini Sydney, Australia Source: AAP
Wengi wetu tuta chukua fursa kuwa nje kwenye wikendi na wakati wa likizo za shule, kujumuika katika michezo nje, ufukweni, kwenye bustani na hata mbugani wakati wa majira ya joto.
Share