Upigaji kura ni lazima kwa wananchi wote wanaostahiki wenye umri zaidi ya miaka 18.
Wapiga kura wanapaswa kujiunga na Tume ya Uchaguzi ya Australia.
Mara baada ya kusajiliwa, lazima kupiga kura ili kuepuka adhabu. FRANK MTAO ana muongozo wa haraka juu ya jinsi ya kupiga kura.