Je unaweza fanya nini ili kuhakikisha watoto wako wanapata uzoefu mzuri kwenye mtandao?
Tovuti ya tume ya eSafety , esafety.gov.au pia ni mahali pazuri kupata taarifa juu ya usalama mitandaoni na vidokezo vya kuanza mazungumzo na mtoto wako, vinapatikana katika lugha nyingi.
Usalama mtandaoni unaonyeshwa kwenye safu mpya ya maigizo ya SBS ya The Hunting unaochunguza jinsi vijana wanavyopitia ugumu wa uhusiano, utambulisho na ujinsia kupitia teknolojia. Mara ya kwanza itaonyeshwa siku ya Alhamisi, tarehe 1 Agosti saa 8.30 jioni kwenye SBS na kwenye mtandao wa uhifadhi yaani On Demand.