Serikali ya Australia inawapa wahamiaji wapya fursa zakupata makazi yakudumu, iwapo wata ishi katika maeneo yakikanda kwa miaka minne.
Tazama makala maalum ya runinga ya SBS kwa jina la Struggle Street kujifunga changamoto za baadhi ya jamii za kanda ya australia, ambazo zina kabiliana na umasikini.
Msimu wa tatu wa Struggle Street utaanza kupeperushwa jumatano tarehe 9 kuanzia saa mbili unusu katika runinga ya SBS. Makala hayo yataendelea kila wiki jumatano. Unaweza pata makala hayo kwenye mtandao wa SBS On Demand, baada yakupeperushwa.