Mwongozo wa Makazi: Matatizo ya jamii za wahamiaji kupokea huduma ya afya ya akili

Wanawake wiwili wakumbatiana baada yaku shiriki katika tiba ya kundi

Wanawake wiwili wakumbatiana baada yaku shiriki katika tiba ya kundi Source: Caiaimage

Takriban wa Australia wapatao milioni 4 wanapatwa wakiwa na ugonjwa wa akili kila mwaka.


Ila, bado kuna vizuizi kadhaa vinavyo wazuia watu kutoka jamii za tamaduni mbali mbali kupata msaada wa afya ya akili.

Kama unakabiliana na matatizo ya afya ya akili, pigia simu shirika la beyondblue 1300 22 4636 unaweza pigia simu pia shirika la Lifeline 13 11 14. Unaweza pata taarifa ya ziada kwaku tembelea tovuti ya mashirika hayo. Anwani ni: beyondblue.org.au na lifeline.org.au

Kama unahitaji msaada wa lugha, pigia shirika la TIS kwa namba hii: 131 450, watakapo jibu, waeleze shirika ambalo unataka kuwasiliana nalo.


Share