Kama mfanyakazi, unahaki ambazo ni wazi kwa swala la malipo, masharti na usalama.
Kuna mbinu rahisi zaku ripoti iwapo haki hizo hazi heshimiwi. Kwa maelezo ya ziada kuhusu makala haya, tembelea tovuti ifuatayo: safworkaustralia.gov.au utapata taarifa kuhusu mamlaka inayo simamia usalama wa kazini katika jimbo au mkao unako ishi.
Unaweza pokea msaada wa wakalimani kupitia shirika la TIS kuzungumza na mamlaka husika.
Viungo muhimu:
Report a workplace concern anonymously <>
Information for visa holders and migrants <>