Mwongozo wa makazi: Masaibu ya vijani katika jumuiya zawa hamiaji kupata ajira

Vijana wakitembea

Vijana wakitembea Source: AAP


Ila kupata ajira huzua changamoto, haswa kwa vijana kutoka jumuiya ambazo kiingereza si lugha yao ya kwanza na tamaduni tofauti.

Je ni matatizo yapi vijana hao wanakabiliana nayo kupata ajira, na wanahitaji msaada wa aina gani kuyakabili?

 


Share