Mwongozo wa Makazi: Kuhamia mikoani Australia

Familia ya waustralia wapya ambao wame anza maisha mapya mjini Tamworth, NSW, Australia

Familia ya waustralia wapya ambao wame anza maisha mapya mjini Tamworth, NSW, Australia Source: Getty Images

Kuhamia katika maeneo ya vijijini, kunaweza toa fursa za makazi nafuu zaidi, na nafasi za kazi bora wakati wa kukuza jamii.


Na kote Australia, programu maalumu zinaundwa ili kuvutia wahamiaji kwenye maeneo ya mikoa.

Ikiwa unafikiria kuhamia na unataka kulinganisha uchumi wa eneo hilo, Taasisi ya Mkoa wa Australia ina kitengo maalumu kuhusiana na hayo kupitia tovuti yake ya regionalaustraliainstitute.org.au.


Share