Mwongozo wa Makazi: Kuzuia unyanyasaji wa nyumbani katika jamii za wahamiaji

Unyanyasaji wa nyumbani

Unyanyasaji wa nyumbani Source: Getty Images

Mmoja kati ya wanawake watatu amekwisha kumbwa na unyanyasaji wa kimwili au kijinsia wakati fulani katika maisha yao.


Vurugu ya familia inaweza kuathiri mtu yeyote, lakini wanawake wahamiaji wanakabiliwa na vikwazo vya ziada wakati wanahitaji kupata msaada.

Ikiwa wewe ni mwathirika wa unyanyasaji wa familia au kujua mtu anayefanya, piga simu 1800 RESPECT kupata msaada.Ikiwa unahitaji mkalimani, piga simu 13 14 50.

Unaweza pata msaada pia kupitia mashirika yafuatayo:

inTouch
Safe Steps
AMES (check out their website to know about the next course for leaders from culturally and linguistically diverse communities in the Prevention of Violence Against Women)
White Ribbon Australia
White Ribbon Australia Translated Facts Sheets
White Ribbon Australia Diversity Workshops
Our Watch
Migrant women at risk of domestic violence: SBS's multilingual report




Share