Jumapiili tarehe 16 hadi Jumamosi tarehe 22 mwezi huu wa sita, ni wiki ya wakimbizi (Refugee Week) nchini Australia.
Mwongozo wa makazi: Wiki ya wakimbizi 2018

Pemba na wafanyakazi wenza wa zamani ndani ya mgahawa wa Harmony on Carmody Cafe Source: Amy Chien-Yu Wang
Dunia inakabiliwa na mgogoro mkubwa wa kibinadamu tangu mwisho wa vita kuu ya pili ya Dunia na inakadiriwa watu milioni 65 imewalazimu kuyakimbia makazi yao na kutawanyika duniani kote.
Share