Mwongozo wa Makazi: Kuanzisha biashara yako mwenyewe nchini Australia

Mmiliki wa biashara ndogo

Mmiliki wa biashara ndogo Source: Picha: AAP

Wengi wa Waustralia wangependa kujitegemea kuanzisha biashara zao wenyewe.


Lakini kuendesha biashara ndogo inaweza ikawa kazi ngumu sana.

 

Hivyo, jinsi gani ya kuanza na kipi kinahitajika kupata mafanikio, ikija muda wa hali kuwa ngumu.

 






Share