Ofisi ya takwimu ya Australia imekadiria kuwa mnamo mwaka wa 2014, idadi yawa Australia wapatao milioni 1.6, walikuwa waathirika wa udanganyifu mtandaoni. Matatizo ya lugha nayo yanaweza kuwa kizuizi kikubwa, kwaku tambua tisho hizo.
Mwongozo wa Makazi: usalama mtandaoni
Usalama mtandaoni Source: Jonh Lund, Getty Images
Vitisho mtandaoni vinavyo sababishwa na maendeleo yakiteknolojia, viko hatua moja mbele ya wanao tumia mtandao pamoja na huduma zakijasusi za mtandao.
Share