Hata hivyo utafiti mpya ume baini kuwa wapangaji wengi hukabiliana na maswala ya ubaguzi na wasi wasi, mahamiaji wapya hususan hujikuta katika mazingira magumu, yakubaguliwa pamoja na unyonyaji ndani ya soko la nyumba.
Mwongozo wa Makazi: Ushauri kuhusu haki za wapangaji nchini Australia
Picha:Dan Himbrechts/ AAP Source: Picha:Dan Himbrechts/ AAP
Wakati wakukodisha nyumba, wapangaji wana haki muhimu pamoja na wajibu.
Share