Mwongozo wa Makazi: Tamaduni tofauti zawa Anzac wa Australia

Sherehe ya maadhimisho ya ANZAC

Sherehe ya maadhimisho ya ANZAC Source: Picha: Getty Images

Kila mwaka tarehe 25 mwezi wa Nne huwa tuna adhimisha siku ya Anzac ambapo, huwa tunawakumbuka wale watu waliofia taifa kwenye mapambano yakivita.


Siku ya Anzac imekuwa alama ya utambulisho wa Australia.

Maana ya ANZACS ni wanajeshi wa Australia na New Zealand, ikijumuisha pia wenyeji na wanajeshi toka tamaduni mbalimbali wakiwa wanaume kwa wanawake.

Kwa maelezo ya ziada kuhusu tamaduni ya Anzac, tembelea tovuti ya kumbukumbu ya vita ya Australia: www.awm.gov.au


Share