Mwongozo wa Makazi: Uelewa wa NDIS

Mhudumu azungumza na mteja wa NDIS

Mhudumu azungumza na mteja wa NDIS Source: Getty Images

Mpango wa Bima ya Ulemavu wa Taifa, au kwa kifupi NDIS, huwasaidia Waustralia ambao wana ulemavu wa kudumu na wenye kuhitaji zaidi msaada huu muhimu.


Tangu kuanzishwa kwake mwaka 2016, NDIS imesaidia karibu watu elfu na hamsini elfu.

Lakini Waaustralia wengine kutoka asili za kiutamaduni na lugha mbalimbali wanaachwa nyuma.
 


Share