Mwongozo wa makazi: Uelewa wa bili yako ya umeme

Mteja aonesha bili yake ya umeme na gesi, na hela zaku lipa bili hiyo

Source: Getty Images

Uelewa wa gharama za matumizi ya umeme unayotumia, ni muhimu kwa kuhakikisha unalipishwa fedha zinazostahili.


Ukipata makosa katika bili yako au kama hauwezi lipa kwa wakati, kuna njia tofauti za kupata msaada.

Tovuti ambayo Bi Paula alikuwa akizungumzia ni: energymadeeasy.gov.au

Kuna rasilimali katika tovuti hiyo ambazo zimetafsiriwa katika lugha kumi na tatu.

 


Share