Mwongozo wa makazi: Je, kuna mabadiliko gani kwa visa za wazazi kwa mwaka mpya wa fedha?

Family

Source: Getty Images

Serikali ya Australia, hivi karibuni imesitisha mpango wake wa awali wa kuweka visingiti mara mbili juu ya kipato cha wafadhili wa visa za wazazi.


Hata hivyo, hadi Julai hii, baadhi ya mabadiliko mengine yameshatambulishwa, yanayoathiri waombaji wa visa za wazazi.

Na kwa nyongeza ni kuwa, muda wa kuzishughulikia visa hizo umeongezeka, mawakala wa uhamaji wanatarajia kuona mabadiliko zaidi.


Share