Je mtu anastahili kabiliana na madeni yasiyoweza dhibitiwa vipi?
Ushauri wa bure na wa siri kuhusiana na matatizo ya kifedha hutolewa na kitengo cha Msaada wa Deni la Taifa, na wataalamu wenye sifa ambao wanafanya kazi katika mashirika ya jamii kote Australia.