Je huduma ya likizo ni nini na, watoto wako wanawezaje shiriki katika michezo bila malipo?

Michezo ya nje

Watoto washiriki katika mchezo nje Source: Getty Images


Kuna shughuli nyingi ambazo hazi hitaji malipo karibu ya unako ishi, iwapo unajua sehemu yakutafuta shughuli hizo.

Kwa watu ambao hawa wezi pata likizo wanako fanya kazi, miradi ya huduma ya likizo kama, huduma yakitamaduni, mchezo kama tennis, kuogelea na sanaa inaweza kuwa jibu.


Share