Mwongozo wa Makazi: Taarifa kuhusu kima cha chini cha malipo

Mfanyakazi a andaa kinywaji mgahawani

Mfanyakazi a andaa kinywaji mgahawani Source: Pixabay


Waajiriwa hawa wezi lipwa chini ya kiwango hicho, hata kama wanakubali.

Ila, licha ya uwepo wa sheria kali, baadhi ya biashara zina wanyanyasa waajiriwa wao, hususan kama ni wanafunzi wakimataifa na watalii ambao wana ruhusa yakufanya kazi nchini.

Kujua kama unapokea malipo yanayo kufaa, au kuwasilisha malalamishi, tembelea tovuti ya mwamuzi wa maswala ya kazini, anwani ni: fairwork.gov.au au wasiliana nao kwa simu, namba yao ni 13 13 94.


Share