Mwongozo wa Makazi: Taarifa kuhusu mfuko mpya wa msaada wa huduma ya watoto

Watoto ndani ya kituo cha huduma ya watoto

Watoto ndani ya kituo cha huduma ya watoto Source: Getty Images

Serikali ya Australia itawasilisha mfuko mpya wa huduma ya watoto.


Hata kama mpango huo hauta tekelezwa hadi Julai, wazazi wanaweza jiandaa mapema.

Kwa taarifa ya ziada kuhusu jinsi mageuzi hayo yata athari familia yako, pamoja nakutumia makadirio ya huduma hiyo, tembelea tovuti hii: education.gov.au/ChildCarePackage


Share