Mwongozo wa Makazi: Umuhimu wa makundi ya michezo kwa watoto na wazazi

Mama acheza na mtoto wake

Mama acheza na mtoto wake Source: AAP


Wanaweza pata furaha, kujenga urafiki na pia kujiendeleza kijamii pamoja na ubunifu wa lugha.

Lakini hata wazazi wanaweza pata mengi pia, hasa wakiwa ni wageni hapa Australia.

Unaweza pata ramani inayo jumuisha majimbo yote katika tovuti ya Playgroup Australia anwani ni: playgroup.org.au au wapigie kwa namba hii bila malipo yoyote 1800 171 882.


Share