Mwongozo wa Makazi: Kwa nini unapaswa chukua tahadhari na dawa za kuandikiwa
Dawa zaku andikiwa Source: Getty Images
Unaweza kushangazwa, mengi ya matatizo ya kunywa dawa kupita kiasi nchini hapa Australia yanatokana na madawa ya kuagizwa au kuandikiwa na daktari na siyo madawa ya kulevya.
Share