Mwongozo wa Makazi: Kwa nini haipaswi kuepuka mazungumzo kuhusu kifo

Mama na bintiye wakizungumza

Mama na bintiye wakizungumza Source: Picha: Getty Images

Kuzungumzia kuhusu kifo hutufanya wengi wetu kuwa na wasiwasi.


Lakini kuepuka swala hili, inaweza kufanya mambo kuwa mabaya zaidi wakati ukiwadia.

Kuzungumza na wapendwa wako kuhusu mirathi, Maelezo ya huduma za awali na matakwa mengine ni muhimu kwako wewe na kwa ajili yao.

 

 


Share