Huduma za misaada ya makazi za tetea mkusanyiko wa jamii zawahamiaji

Alan Tudge waziri wa uraia na tamaduni mbali mbali

Alan Tudge waziri wa uraia na tamaduni mbali mbali Source: AAP

Waziri wa maswala ya uraia na tamaduni mbali mbali wa Australia, amesema hatua za ziada zinastahili chukuliwa kuwasaidia wahamiaji kujumuika katika maisha ndani ya jamii.


Waziri huyo ameongezea kuwa ujuzi mdogo wa kiingereza husababisha uwepo wa fursa ndogo zaku ajiriwa.

Hata hivyo, viongozi wa mashirika ya misaada wame sema kuwa wahamiaji wanapata mbinu mbali mbali zaku jiendeleza katika nchi yao mpya.


Share