Simamisha mzunguko wa vurugu, kuwa mfano chanya

Woman under attack

Mwanamke ajikinga dhidi ya shambulizi. Credit: Dominic Lipinski/PA Wire

Ni mara ngapi tumesikia usemi kuwa, “wavulana watakuwa wavulana” au “ni sawa, alifanya hivyo kwa sababu anakupenda”, kuhusu tabia za kukosa heshima au vurugu dhidi ya wasichana au wanawake?


Watalaam wanasema, hatakama semi hizi zinaonekana nikama hazina madhara yanayo onekana, tunachofanya bila kujua nikufanya uchokozi uwe kitu cha kawaida kilicho ndani ya wavulana au, kitu ambacho kina chochowa na wasichana.


Kwa hiyo tuwaelimishe watoto wetu kuhusu tabia ya heshima. Kwa kutambua mzunguko wa vurugu, tunaweza isimamisha inako anzia na kuwa mifano chanya.


Kama wewe au mtu unaye jua ame athiriwa na unyanyasaji wakijinsia au unyanyasaji, unaweza pata msaada kwakupiga simu kwa namba hii 1800RESPECT namba kamili ni 1800 737 732 au tembelea tovuti hii: 1800RESPECT.org.au. Na kama una hali ya dharura, piga simu kwa namba hii, 000.

Share