Somalia yatengeza historia katika fainali ya kombe la Afrika Kusini Australia

Timu ya soka ya Somalia, yasherehekea ushindi wao dhidi ya Burundi katika kombe la Afrika la Kusini Australia.jpg

Timu ya Somalia, imekuwa ikishiriki katika michuano ya kombe la Afrika la Kusini Australia bila mafanikio makubwa.


Ila nyota ya Somalia ili ng'aa zaidi mwaka huu kuliko katika miaka mingine, baada ya timu hiyo kushinda vigogo wote wa michuano hiyo nakuwapa mashabiki wake pamoja na mashabiki wengine wa soka furaha isiyo na kifani.

SBS Swahili ilizungumza na maadhi ya mashabiki wa timu ya Somalia, ambao wali weka wazi hisia zao kuhusu fahari timu yao pendwa iliwapa katika fanaili hiyo dhidi ya Burundi.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa zaidi.

Share