Bw Styve Derrick ni Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la habari la Africa For Hope nchini Sweden.
Alitembelea studio za SBS Swahili, ambako alitupa historia ya shirika lake la habari pamoja na changamoto yake kubwa yakupata wafanyakazi wanao stahiki nchini Sweden.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.