Mwaka huu pekee halmashauri ya jiji la Brimbank linatarajiwa kutoa uraia, kwa zaidi ya wakazi elfu mbili, na tabasamu na shangwe za ziada zinatarajiwa kushuhudiwa kutoka kwa raia wapya.
Wahamiaji 600 wapewa uraia rasmi katika sherehe ya uraia ya 'Super Saturday'

Wahamiaji walakiapo cha uraia katika halmashauri ya jiji la Brimbank Source: Brimbank City Council
Zaidi ya idadi ya wahamiaji miasita wame pewa rasmi uraia katika sherehe maalum, katika eneo la magharibi ya Melbourne, katika siku ambayo watu wengi wame batiza jina la "Super Saturday".
Share