Chama cha Greens kime kosoa pendekezo jipya la malezi ya watoto kutoka kwa serikali ya Albanese, kwa kuto tosha na kutoweza kuwekwa katika matendo kabla ya uchaguzi mkuu wa shirikisho. Ahadi kuu ya waziri mkuu Anthony Albanese kabla ya uchaguzi mkuu, ime ahidi uwekezaji wa $1 bilioni kwa ujenzi nakupanua huduma nakupanua ruzuku za malezi ya watoto. Matangazo hayo yamejumuisha pia kupanuliwa kwa ruzuku ya malezi ya watoto ya serikali, kufutwa kwa mtihani wa zamani wa shughuli kwa upendeleo wa dhamana ya siku tatu.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.