Taarifa ya Habari 13 Februari 2025

Bench - Swahili.jpg

Waziri wa Afya wa jimbo la New South Wales, ameomba msamaha jumuiya ya wayahudi baada ya video inayo zungushwa mtandaoni, kuwaonesha wauguzi wawili waliokuwa wakitoa vitisho kwa wagonjwa wenye asili ya Israel.

Australia ime hamasishwa ilinde viwanda vyake kwa kutumia vyuma vinavyo zalishwa ndani ya mipaka yake, wakati matarajio ya ushuru wa Marekani yaki karibia.

Shirika la watoto lime elezea siku ya kumbukumbu ya msamaha wakitaifa kwa vizazi vilivyo ibiwa, kama kumbusho lakila mwaka la ukweli wa kina na ukumbusho.

Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu, imeanza kusikiliza shauri lililowasilishwa mahakamni hapo na Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo dhidi ya Rwanda, kuhusu mgogoro wa kivita wa muda mrefu mashariki mwa Congo.

Mpiga mbizi wa Olimpiki wa Australia Melissa Wu, ametangaza kuwa amestaafu kutoka mchezo huo. Bi Wu alishinda medali ya fedha akiwa na umri wa miaka 16 katika michezo ya olimpiki ya Beijing 2008 na shaba mjini Tokyo miaka minne iliyo pita.

Share