Taarifa ya Habari 17 Disemba 2024

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS / SBS Swahili

Mawaziri wa kigeni na ulinzi wa Uingereza na Australia wamefanya mkutano wao wa kila mwaka ((AUKMIN)) mjini London ambako amekubali kuimarisha zaidi ushirikiano kwa ulinzi, biashara na sera yakigeni.


Wataalam wa utabiri wa hali ya hewa wana onya kuwa, wimbi la joto lina karibia athiri sehemu kubwa za pwani ya mashariki katika siku chache zijazo. Watetezi wa makaazi ya jamii wamesifu hatua yaku harakisha uwekezaji wakujenga nyumba za ziada 5,000 za jamii kwa ajili yaku shughulikia uhaba wa nyumba za jamii nchini Australia.


Share