Ila mvuo nzito zita lowanisha sehemu zakitropiki za kaskazini hii loe 20 Disemba, ambako hali ya hewa ya mvua inatarajiwa kwa siku kadhaa.
Mashariki mwa DRC bado inaendelea kukumbwa na vitendo vya ghasia zinazofanywa na waasi na sasa wakiwa wameingia katika mji wa Butembo na kwingineko ambako tayari wameteka vijiji zaidi ya 10. Inaonekana kuwa waasi wanazidi kusonga mbele hatua ambayo inaliweka jeshi la FARDC kupungukiwa nguvu ya kupambana nao. Ingawa walinda amani wa SADC na MONUSCO wako katika maeneo ya DRC lakini hali ya uasi bado inaongezeka.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.