Zaidi ya wazima moto 100 wataalam kutoka majimbo tofauti wame tumwa kusaidia jimboni Victoria, ambako maandalizi yana endelea kwa mazingira hatari zaidi ya moto tangu tukio la black summer la 2019–20. Timu hizo zimetoka New South Wales, the ACT, Queensland na Tasmania.
Bonyeza hapo juu kwa taaarifa zaidi.