Idadi ya maambukizi ya virusi vya Corona kote duniani imepindukia milioni 16 kufikia leo Jumapili.
Katika ibada takatifu ya kuaga mwili wa rais wa zamani wa Tanzania Benjamini William Mkapa inayofanyika jijini Dar es salaam Tanzania, Familia yake imethibitisha kuwa alifariki kwa mshituko wa moyo.