Sehemu yingi za Australia zinatarajia kukabiliwa kwa mazingira ya wimbi ya joto katika siku zijazo, nyuzi joto zikitarajiwa kupita 40 katika sehemu za nchi. Mamlaka wa Afya wana wahamasisha wakaaji wa maeneo hayo wabaki ndani.
Wanasiasa wa vyama vya upinzani nchini Burundi, wamezuiwa na Tume ya uchaguzi kushiriki kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika mwaka huu.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.