Mwaka mpya utakuja na mabadiliko mengi kwa sera na malipo ya serikali kwa zaidi ya idadi yawa Australia milioni. Kuanzia Januari 1, kutowalipa wafanyakazi mshahara wakutosha kutakuwa rasmi uhalifu, wakati wapokeaji wa malipo ya ustawi wata shuhudia ongezeko la hela zaidi katika akaunti zao za benki.
Polisi katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi imewafurumusha kwa mabomu ya machozi na kuwatawanya waandamanaji, waliokuwa wakiandamana Jumatatu dhidi ya kile wanachosema kuongezeka kwa wimbi la utekaji nyara.