Ujumbe wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umekutana kwa mazungumzo na waasi wa M23 mjini katika jitihada za kufikia makubaliano ya kusitisha mapigano katika eneo la mashariki mwa nchi hiyo.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.
SBS World News