Watanzania nchini Australia wajipata njia panda juu ya uraia pacha

Edda Magembe afisa wa ubalozi wa Tanzania nchini Japan, azungumza na SBS Swahili kuhusu huduma anayo toa kwa wanajumuiya nchini Australia. Source: SBS Swahili
SBS Swahili ilizungumza na Edda Magembe kutoka ubalozi wa Tanzania nchini Japan, Bi Edda Magembe ambaye yuko nchini Australia kuwahudumia wanajumuiya kupata vibali vya kusafiria.
Share